Loading...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO

Loading...
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO
link : RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO

soma pia


RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO


1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mkata wakati alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya kikazi.
3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Mkata waliosimama pembeni ya  barabara kuu ya Chalinze-Segera (hawaonekani pichani) mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kijiji cha Mkata mkoani Tanga
4
Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga akiwemo Wabunge na wakuu wa Wilaya wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia Mkata mkoani Tanga.
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze Segera  katika eneo la Kwa mkonga wakati akiwa njiani kuelekea Tanga.
6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kabuku Handeni mkoani Tanga.
7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Kabuku mara baada ya kumaliza kuwahutubia wakati akielekea mkoani Tanga.
9.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela kabla ya kuwahutubia wananchi wa Hale mkoani Tanga.
10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Hale mkoani Tanga.
13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja ya wakazi wa Hale mkoani Tanga mara baada ya kuhutubia katika eneo hilo.
16
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza   Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Hadija Juma mara baada ya kusoma ujumbe ulioandikwa kwenye sare aliyovaa mama huyo.
DCIM100MEDIADJI_0014.JPG
Wananchi wa Muheza wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufika katika eneo hilo la mjini akiwa njiani kuelekea Tanga.
PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO

yaani makala yote RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-mhe-dkt-magufuli-azungumza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO"

Post a Comment

Loading...