Loading...

MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI

Loading...
MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI
link : MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI

soma pia


MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI


msuva difaa al jadidi #salehjembe
Mshambulizi Saimon Happygod Msuva ameendelea kung’ara kisoka baada ya kufunga mabao mawili katika mechi yake ya tatu ya kirafiki waliyocheza jana.
Mechi hiyo ni ya kirafiki mazoezi na ilichezwa jana na Difaa Al Jadid ya Morocco anayoichezea ilishinda kwa mabao 3-0.
Kabla ya mechi hiyo, juzi walicheza mechi mazoezi nyingine na kutoka sare ya bao 1-1, Msuva akiwa amesababisha penalti iliyozaa bao la Difaa Al Jadid.
Mechi ya kwanza ya kirafiki aliyocheza dakika 45, Msuva alifunga bao la kufutia machozi wakati Difaa Al Jadid ikilala kwa mabao 2-1.
Msuva amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Yanga ambayo aliisaidia kubeba makombe mfululizo.


Hivyo makala MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI

yaani makala yote MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/msuva-azidi-kungara-moroccoatupia-goli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSUVA AZIDI KUNG’ARA MOROCCO,ATUPIA GOLI MBILI"

Post a Comment

Loading...