Loading...

KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI

Loading...
KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI
link : KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI

soma pia


KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI

Na Pamela Mollel,Arusha.

Kampuni ya Uzalishaji wa Mbegu ya Monsanto imezindua mbegu mpya aina ya DK 777 ,ambayo ina uwezo mkubwa wa kustahimili ugonjwa wa Mnyauko wa Mahindi uliowasumbua wakulima wengi hususan katika kanda ya Kaskazini na kusababisha wakulima kukosa mazao .

Mtafiti wa Mbegu hizo kutoka kampuni ya Monsanto ,Honest Temu amesema kuwa ugonjwa wa Mnyauko umeawaathiri wakulima wengi suala lililowasukuma kufanya utafiti ambao ulikamilika hivi karibuni na mbegu hizo zilisajiliwa na serikali kwa ajili ya kutumika na wakulima .

Meneja Kiongozi wa Kampuni hiyo Frank Wenga amesema kuwa mbegu hizo zitakua mkombozi kwa wakulima na kuleta mavuno ya kutosha kwa ajili ya chakula na ziada kwa ajili ya biashara ili kukuza pato la mkulima na kuinua uchumi wa taifa kupitia kilimo. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Mbegu nchini Bob Shuma akizindua mbegu hizo amesema kuwa sekta ya mbegu ni sekta muhimu katika kukuza kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa taifa hivyo wadau wa mbegu hawana budi kufanya tafiti zitakazosaidia kukuza kilimo na kuinua ustawi wa mkulima kupitia uzalishaji wa mbegu bora.

Kwa upande wake Mkulima Nko amesema kuwa mbegu hizo zitawasadia wakulima kupata uhakika wa kupata mazao ya kutosha kutosheleza mahitaji ya nyumbani na mahitaji ya soko hivyo kusaidia upatikanaji wa chakula na kukuza pato la mkulima.
Meneja Kiongozi wa Kampuni ya Monsanto Frank Wenga Akizungumza katika uzinduzi wa mbegu mpya aina ya DK 777 ,ulifanyika katika viwanja vya Kituo cha utafiti wa kilimo Selian jana Mkoani Arusha.Picha na Pamela Mollel Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Mbegu nchini Bob Shuma akizungumza katika uzinduzi wa mbegu mpya aina ya DK 777 jana Mkoani Arusha na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa kilimo
Viongozi wa kampuni ya Monsanto na wadau wa kilimo wakiwa katika shamba darasa.


Hivyo makala KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI

yaani makala yote KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kampuni-ya-monsanto-yazindua-mbegu-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI"

Post a Comment

Loading...