Loading...

Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo

Loading...
Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo
link : Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo

soma pia


Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo

Mgeni rasmi, Flora Kimaro ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Taasisi ya MOI akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Pamoja na maadhimisho hayo Chama cha Wakunga Nchini (TAMA) kimepongezwa kwa kutoa huduma za afya ambapo watu wanapima afya leo katika hospitali hiyo. Siku ya Wakunga Duniani huadhimishwa Mei 5, kila mwaka, lakini TAMA tawi la Muhimbili imeamua kuadhimisha siku hii katika wiki ya unyonyeshaji duniani. 
Baadhi ya wananchi waliofika katika siku ya maadhimisho hayo wakimsikiliza mgeni rasmi,
Mgeni rasmi akikakata utepe akiashiria kuanza kwa shughuli za maadhimisho hayo ikiwa ni pamoja na kupima watu mbalimbali afya
Mmoja wa wauguzi, Gladisia Kessy akimpima afya mmoja wa watu waliofika Muhimbili leo kwa ajili ya kushuhudia maadhimisho hayo. 



Hivyo makala Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo

yaani makala yote Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/muhimbili-yaadhimisha-siku-ya-wakunga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Muhimbili Yaadhimisha Siku ya Wakunga Duniani kwa Kupima Afya Wananchi Leo"

Post a Comment

Loading...