Loading...

NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA

Loading...
NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA
link : NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA

soma pia


NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA


Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), akipatiwa maelezo na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo, wakati alipotembelea vitengo mbalimbali vya shirika hilo, kuongoea na Uongozi pamoja na wafanyakazi, Dar es Salaam leo. Wa tatu ni Kaimu Katibu wa Shirika, Zuhura Pinde.(Picha zote na Kassim Mbarouk-http://ift.tt/1jv00WK)
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), akipatiwa maelezo na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo kuhusu utendaji kazi wa kitengo cha utumaji na upokeaji wa fedha cha Western Union, katika ziara hiyo. 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo (kulia), akimpatia maelezo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani kuhusu idara mbalimbali za Posta Kuu, wakati alipotembelea sehemu hiyo katika ziara hiyo. Kushoto ni Meneja wa Posta, Mkoa wa Dar es Salaam, Margret Mlyomi.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, akisalimiana na kuagana na wafanyakazi mara baada ya kumaliza kuzungumza nao, leo jijini Dar es Salaam. 



Hivyo makala NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/naibu-waziri-mhandisi-ngonyani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA"

Post a Comment

Loading...