Loading...

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba.

Loading...
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba.
link : Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba.

soma pia


Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba.

Mdhamini wa Shirika la Magazeti ya Serikali Pemba , Bakar Mussa Juma,akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,juu ya dhamira ya Shirika hilo kufanya ziara ya kuangalia shughuli mbali mbali zinazofanywa na taasisi za Serikali mkoani humo .
Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ahmed Khalid Abdalla,akizungumza mbele ya Waandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibarleo , juu ya mikakati mbali inayochukuliwa na mkoa huo ili kupambana na mambao mbali mbali ikiwemo , magendo ya Karafuu, Madawa ya Kulevya na shuhuli mbali mbali za kijamii.

Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibarleo Pemba, Abdi Juma Suleiman, akimuuliza swali Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba ,jinsi walivyojipanga kudhibiti magendo ya karafuu.
Picha na Habiba Zarali - Zanzibarleo Pemba.


Hivyo makala Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba.

yaani makala yote Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mkuu-wa-mkoa-wa-kaskazini-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Azungumza na Maofisa wa Zanzibar Leo Pemba."

Post a Comment

Loading...