Loading...

NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT'

Loading...
NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT' - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT'
link : NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT'

soma pia


NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT'

Kampuni ya New Habari (2006) LTD kupitia gazeti lake la DIMBA, imeandaa onesho maalum la muziki wa dansi DIMBA Music Concert litakaofanyika Septemba 2 mwaka huu katika Ukumbi wa Traventine Magomeni jijini Dar es Salaam.

Onesho hilo lina lengo la kuukuza na kupromoto muziki wa dansi, ambao umekuwa ukielekea kupotea kila kukicha.

Katika onesho hilo kutakuwepo na mpambano wa wanamuziki wa dansi, ambapo bendi ya Msondo Ngoma Music (Baba wa Muziki), itachuana na mastaa mbalimbali wa muziki huo kutoka bendi mbalimbali nchini.

Kundi la mastaa ambao tumewapa jina la ‘Timu ya Taifa ya Muziki wa Dansi,’ litakalochuana na Msondo Ngoma, litaundwa na wanamuziki kama Kikumbi Mwanza Mpango' King Kiki', Hassan Rehani Bitchuka 'Stereo', Karama Regesu, Ally Choky, Juma Kakere, Nyoshi El-Saadat ‘Sauti ya Simba’ na Muumini Mwinjuma.

Meneja matukio wa Dimba Music Concert, Mwani Nyangassa, akizungumza na waandishi wa Habari jana kutambulisha wanamuziki watakaoshiriki katika tamasha hilo, litakalofanyika Septemba 2 kwenye ukumbi wa Travertine, Hotel Magomeni. Kushoto ni Mhariri wa Dimba Jimmy Chika na kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya New Habari (2006) LTD Michael Budigila. 
Baadhi ya wanamuziki watakaoshiriki Dimba Music Concert, wakiwa na Kamati ya Maandalizi jana mbele ya waandishi wa habari katika Ofisi za New Habari (2006) LTD.
Wanamuziki Juma Kakere, Ally Choki, Hussein Jumbe na Juma Katundu, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutambulishwa kutumbuiza katika Tamasha hilo Septemba 2.
Mhariri wa Dimba, Jimmy Chika, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanamuziki na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Dimba Concert .



Hivyo makala NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT'

yaani makala yote NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT' mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/new-habari-2006-ltd-kupitia-gazeti-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEW HABARI (2006) LTD KUPITIA GAZETI LA DIMBA,YAANDAA ONESHO LA MUZIKI WA DANSI 'DIMBA MUSIC CONCERT'"

Post a Comment

Loading...