Loading...

SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.

Loading...
SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.
link : SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.

soma pia


SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi alipotembelea Mkoani Iringa.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea Mkoani Iringa.
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Jamhuri William akisistiza jambo wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Mkoani Iringa.
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akieleza jambo kwa na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba akitoka katika Ofisi ya Dawati la Jinsia na watoto katika Kituo cha Polisi Wilaya ya Mufindi kujionea shughuli zinazofanyika katika dawati hilo.



Hivyo makala SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.

yaani makala yote SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/sihaba-nkinga-akutana-na-kuzungumza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI."

Post a Comment

Loading...