Loading...
title : Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima
link : Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima
Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima na Uongozi wa Sirika la Bima Zanzibar katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji wa Sirika hilo , [Picha na Ikulu.] 11 /08/2017.
Baadhi ya Viongozi katika Sirika la Bima Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima Zanzibar ,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar Nd, Abdulnasir Ahmed Mohamed (kushoto) alipokuwa akizungumza na kutoa ufafanuzi wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pia kimejumuisha Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima Zanzibar,Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango na Uongozi wa Shirika la Bima Zanzibar,(kulia) Mwenyeki ti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima Bw.Jumbe Said Ibrahim,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-dk-shein-akutana-na-bodi-ya.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Bima"
Post a Comment