Loading...

Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake

Loading...
Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake
link : Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake

soma pia


Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake

Bondia Hassan Mwakinyo aliwashangaza wengi katika ndondi, baada ya kumchapa mpinzani wake Sam Eggington wa Uingereza katika pambano lililochezewa Birmingham.
Mwakinyo, anayetokea Tanga, alicheza pambano la mwisho la utangulizi lililokutanisha bondia maarufu wa Uingereza Amir Khan dhidi ya Samuel Vargas.
Siri yake ya kufanikiwa ilikuwa nini?
Nassor Rashid, meneja wa bondia huyo, anasema alikuwa na matumaini asilimia 95 kwamba angefanikiwa.
Promota huyo anasema video ya ukalimani wake ambayo imesambaa sana mitandao ya kijamii imesaidia sana kumvumisha na kwamba ndoto ya kupambana na kelly Brook na Amir Khan bado ipo, na baadaye Floyd Mayweather.


Hivyo makala Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake

yaani makala yote Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/hassan-mwakinyo-bondia-mtanzania-asema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake"

Post a Comment

Loading...