Loading...

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

Loading...
RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.
link : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

soma pia


RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji

Mkurugenzi wa Idara ya Mikopo ya Elimu ya Juu puia Katibu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nd,Iddi Khamis Haji alipokuwa akitoa taarifa ya Uongozi wa Wizara ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Maalim Kombo Hassan Jumaakifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Saidi,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Elimu Bi.Sada Thani (kulia) alipokuwa akitoa taarifa yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,Bodi hiyo na Uongozi wa Baraza la Elimu,wengine ni Wajumbe wa Bodi,[Picha na Ikulu.] 10/08/2017. 



Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU.

yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-dkshein-azungumza-na-bodi-ya_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IKULU."

Post a Comment

Loading...