Loading...
title : ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba.
link : ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba.
ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba.
MDHAMINI wa Mamlaka ya Kuzuia rushwa na uhujumu wa uchumi ZAECA ofisi ya Pemba Suleiman Ame Juma, akiwasilisha mada ya madhara ya rushwa kwa watendaji wa Jeshi la Polisi kisiwani Pemba, mafunzo hayo yalifanyika Kituo cha Huduma za Sheria mjini Chakechake
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akizungumzia kazi za kituo hicho, kwenye mafunzo ya Jeshi la Polisi juu ya haki za binadamu, yaliofanyika mjini Chakechake
WATENDAJI wa Jeshi la Polisi kisiwani Pemba, wakifuatilia mafunzo ya haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika mjini Chakechake.
WATENDAJI wa Jeshi la Polisi kisiwani Pemba, wakifuatilia mafunzo ya haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika mjini Chakechake.
MTENDAJI wa Jeshi la Polisi, akichangia jambo kwenye mafunzo ya haki za binadamu yaliofanyika mjini Chake chake na kuandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Hivyo makala ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba.
yaani makala yote ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/zaeca-yatowa-elimu-ya-muzuiya-rushwa.html
0 Response to "ZAECA Yatowa Elimu ya Muzuiya Rushwa Kwa Maofisa Wa JKeshi la Piolisi Pemba."
Post a Comment