Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017. Picha na IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakitakiana amani na watawa wakati wa Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakijumuika na waumini wengine kushiriki Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya kushiriki Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya kushiriki Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi baada ya kushiriki Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakipata picha ya kumbukumbu na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Padre Vicent na baadhi ya wanafunzi shule ya Sekondari ya St. Joseph baada ya kushiriki Ibada ya Misa takatifu, Dominica ya 19 ya mwaka A wa Kanisa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo Agosti 13, 2017
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-ashiriki-misa-ya.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment