Loading...
title : RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
link : RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa madarasa sita na ofisi moja ya walimu katika shule ya msingi Pakistan utete kata ya Pera,yaliyokarabatiwa kwa ufadhili wa marafiki wa Pakistan.
Balozi wa Pakistan nchini,Amir khan wa kushoto na Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete,wakizindua majengo ya madarasa sita na ofisi moja ya walimu katika shule ya msingi Pakistan utete kata ya Pera,yaliyokarabatiwa kwa ufadhili wa marafiki wa Pakistan.
Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze
MBUNGE wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete,amewahimiza wananchi kujenga tabia ya kujitolea katika shughuli za kimaendeleo pasipo kuachia serikali/halmashauri na wahisani pekee.
Aidha amesema ofisi yake na halmashauri wataendelea kuunga mkono juhudi za wafadhili na wadau wanaojitokeza kushirikiana nao kutatua changamoto zinazowakabili jimboni hapo ikiwemo elimu.
Ridhiwani alitoa rai hiyo, wakati wa uzinduzi wa majengo ya madarasa sita na ofisi moja ya walimu katika shule ya msingi Pakistan Utete iliyopo kata ya Pera,Chalinze wilayani Bagamoyo,yaliyokarabatiwa kwa ufadhili wa marafiki wa Pakistan,kwa gharama ya sh.milioni.30.
Hivyo makala RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
yaani makala yote RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ridhiwan-kikwete-ahimiza-wananchi.html
0 Response to "RIDHIWAN KIKWETE :AHIMIZA WANANCHI WAJITOLEE KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO"
Post a Comment