Loading...

RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE

Loading...
RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE
link : RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE

soma pia


RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Rais mpya wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) Walace Karia alikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Mlandege ambao ulipigwa jana saa 2 za usiku katika uwanja wa Amaan timu hizo zikitoka sare ya 0-0.2
Jumamosi iliyopita ya Agost 12, 2017 Karia alishinda Urais wa TFF baada ya kupata kura 95 kati ya 128 za wajumbe waliopiga kura kwenye uchaguzi huo uliofanyika Mjini Dodoma.
Karia amewashinda Iman Madega, Shija Richard, Ally Mayay, Emanuel Kimbe na Fredrick Mwakalebela ambao walikuwa wakiwania nafasi ya urais wa TFF.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa Rais wa TFF, Karia alikuwa makamu wa Rais chini ya Jamal Malinzi ambapo baadae aliendelea kuiongoza TFF baada ya Malinzi kuwa mahabusu akikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya ofisi.

Karia ataongoza shirikisho la soka Tanzania kwa kipindi cha miaka minne kwa mujibu wa katiba ya TFF.


Hivyo makala RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE

yaani makala yote RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-mpya-wa-tff-aonekana-uwanjani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MPYA WA TFF AONEKANA UWANJANI SIMBA IKIBANWA NA MLANDEGE"

Post a Comment

Loading...