Loading...

Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Loading...
Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
link : Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

soma pia


Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya wekundu wa Msimbazi Simba jana imebanwa mbavu na watoto wa Abdul Satar timu ya Mlandege baada ya kutoka sare tasa 0-0 kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa katika uwanja wa Amaan saa 2 za usiku.
Simba iliwachezesha nyota wake kadhaa wapya akiwemo Mlinda Mlango Aishi Manula, mlinzi Salim Mbonde pamoja na kiungo Haruna Niyonzima huku washambuliaji wake wapya hatari Emmanuel Okwi pamoja na John Bocco hawakucheza.
Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu ya Simba kucheza Visiwani hapa ndani ya msimu huu mpya ambapo pia ni mchezo wake wa tano wa kirafiki katika kipindi hichi cha kujiandaa na msimu mpya wa mwaka 2017-2018.


Hivyo makala Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

yaani makala yote Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kikosi-cha-timun-ya-simba-yabanwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikosi cha Timun ya Simba Yabanwa na Mlandege Katika Mchezo wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar."

Post a Comment

Loading...