Loading...
title : Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani
link : Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani
Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani
Leo August 7, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu hadi Agosti 16, 2017 baada ya upelelezi kutokamilika.Kesi hiyo imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mwambapa baada ya Wakili wa TAKUKURU, Kishenyi Mutalemwa kueleza kuwa upelelezi haujakamilika na kuomba iahirishwe hadi tarehe nyingine.
Hivyo makala Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani
yaani makala yote Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-wa-simba-sc-evans-aveva-na-makamu.html
0 Response to "Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange Wakiwa Mahakamani"
Post a Comment