Loading...
title : REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP
link : REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP
REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP
MwambawahabariReal Madrid wameendeleza ubabe kwa mahasimu wao wakubwa Barcelona kwa kuwapa kipigo cha pili, safari hii ikiwa ni mabao 2-0 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Spanish Super Cup.
Madrid iliitwanga Barcelona kwa mabao 3-1 nyumbani kwao Camp Nou, Barcelona.
Bila ya mshambuliaji wake, Cristiano Ronaldo aliyelambwa kadi nyekundu katika mechi ya kwanza, Madrid imeshinda kwa idadi hiyo ikiwa nyumbani Santiago Bernabeu.
Marco Asensio alikuwa wa kwanza kuandika bao katika dakika ya nne tu ya mchezo na Karim Benzema akapachika la pili dakika ya 39 baada ya kumuibia mpira beki Samuel Umtiti wa Barcelona.
Madrid imechukua ubingwa ikiwa na jumla ya mabao 5-1 baada ya ushindi wa mabao 3-1 ugenini Camp Nou.
Hivyo makala REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP
yaani makala yote REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/real-madrid-yaidungua-2-0-barcelona-na.html
0 Response to "REAL MADRID YAIDUNGUA 2-0 BARCELONA NA KUCHUKUA UBINGWA WA SPANISH SUPER CUP"
Post a Comment