Loading...

ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI

Loading...
ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI
link : ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI

soma pia


ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Msichana wa kitanzania, Rose Mmbaga ameweza kushinda tuzo ya Mwanamke mwenye Ushawishi ‘Women in Events Hall of Fame’ ya nchini Marekani na kuwa ni Mwafrika pekee katika kusaidia vijana katika maswala ya masuala ya Mazingira.

Mmbaga ameshinda tuzo hiyo kutokana na uwezo wake wa ushawishi katika kazi za kijamii ambazo amezifanya nchi nzima.

Amesema kuwa Safari yake ilianza na kujitolea kwa takribani miaka mitatu baada ya kuona ajira zinasumbua, na alianza na VSO international kwenye mradi wa International Citizen Service alafu nikajiunga na Restless development katika mradi wa kijana tung’are kazini chini ya International Citizen Service programu kwa takribani miezi sita na tena nikaenda Raleigh Tanzania kwenye mradi wa Expedition.

“nilijenga shule kusaidia watoto yatima,mashirika yote nilishirikiana na vijana kutoka ndani na nje ya nchi na miradi ilifadhiliwa na DFID yani serikali ya wingereza.Haikua rahisi lakini leo hii naweza kuona matunda ya kujitolea katika jamii yangu.”amesema Rose.

Kupitia safari yangu leo hii nimeweza kupata tuzo ya kimataifa kutoka Association for women in events,Hall of fame kama “Woman of Influence”(Mwanamke mwenye ushawishi) ambayo walioniwezesha ni watu ambao wanafahamu kazi yangu na nilioshirikiana nao katika kazi zangu haswa vijana wa kitanzania na wengi wao ni wale waliojitolea

Amesema pongezi zinamwendea mwanaharakati wa kuwasaidia wanawake duniani Mandy Sanghera ameweza kuwa wa kwanza kuninominate jina langu kati ya wanawake wengi na leo hii ninamshukuru kwa kupitia yeye nimeweza kushinda.


Hivyo makala ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI

yaani makala yote ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rose-mmbaga-ashinda-tuzo-ya-mwanamke.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ROSE MMBAGA ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MWENYE USHAWISHI"

Post a Comment

Loading...