Loading...

Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza

Loading...
Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza
link : Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza

soma pia


Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza




Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekichukua kiwanda cha kusindika ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo eneo la viwanda Ilemela mkaoni Mwanza kutokana na kushindwa kuendelezwa na wamiliki wake toka mwaka 1998.

Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella ameamuru makampuni ya Skysraper na Caspian kurudisha funguo za kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries Limited Mwanza kwa Serikali na kuwa mali ya Serikali rasmi.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ametangaza uamuzi huo kutokana na wawekezaji wa kiwanda hicho kushindwa kukuendeleza lakini pia kuwepo kwa udanganyifu wa umiliki wa kiwanda hicho uliodaiwa kufanya na kampuni ya Quality Group.

Mongella ametangaza maamuzi hayo mbele ya Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo, wakiwemo pia wawakilishi wa kampuni ya Caspian na Quality Group zilizoshindwa kutekeleza masharti ya mkataba wa kukiendeleza kiwanda hicho toka mwaka 1998.


Hivyo makala Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza

yaani makala yote Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/serikali-yakichukua-kiwanda-cha-ngozi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serikali Yakichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza"

Post a Comment

Loading...