Loading...
title : RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM
link : RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM
RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM
Na Agness Francis, Globu, ya jamii.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameahidi kutoa msaada wa Miguu ya bandia kwa walemavu wa miguu wasio na uwezo wa kununua Miguu hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam, Makonda amesema kuwa anatoa fursa hiyo kwa walemavu 200 ambapo itakuwa ni awamu ya kwanza kuweza kufanikisha zoezi hilo.
Makonda amesema zoezi hilo litafanyika kwa awamu kutokana na gharama. Amesema gharama hizo ni changamoto kwa wananchi wake kwa walio makazini na hata wasio makazini na amewaomba watumie fursa hiyo kujitokeza katika zoezi hilo la upimaji vipimo ili kufanikisha leongo
Amesema kuwa zoezi hilo litafanyika kwa siku mbili kuanzia Agosti 14-15 mwaka huu katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa zilizopo Ilala Boma Jijini Dar Es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akionesha Miguu Bandia kwa Waandishi wa Habari wakati kaizungumza nao Ofisini kwake.
Hivyo makala RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM
yaani makala yote RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rc-makonda-kutoa-msaada-wa-miguu-bandia.html
0 Response to "RC MAKONDA KUTOA MSAADA WA MIGUU BANDIA KWA WANANCHI WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM"
Post a Comment