Loading...
title : Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni.
link : Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni.
Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni.
Sheikh Shariff Majini kwa siku mbili mfululizo atafanya Dua maeneo ya Magomeni wilayani Kinondoni Jiji la Dar es salaam.
Dua itafanyika katika viwanja vya Mtambani jirani na ofisi za Serikali ya Mtaa na Dua hiyo itakuwa ni ya hadhara lakini pia ni ya pamoja ili kuifanya kuwa na nguvu.
Huu ni mfululizo wa Dua za Sheikh maeneo mbali mbali Nchini.
Kabla ya Magomeni Sheikh amefanya DUA katika mikoa ya Dodoma, Arusha, Tanga, Temeke, Viwanja vya TP Darajani na Ukumbini STARLIGHT.
Hivyo makala Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni.
yaani makala yote Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/sheikh-shariff-majini-kufanya-dua-nzito.html
0 Response to "Sheikh Shariff Majini kufanya Dua nzito Magomeni."
Post a Comment