Loading...

Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ

Loading...
Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ
link : Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ

soma pia


Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Baada ya kucheza jana Timu ya Taifa ya Jang’ombe na kufanikiwa kuwafunga Jamhuri 2-0 katika mchezo wa ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Gombani, unaweza kushangaa na leo Taifa wanacheza tena mchezo mwengine wa ligi hiyo hiyo dhidi ya Kizimbani katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.

Mchezo huo nambari 48 ulikuwa uchezwe Jumamosi ya Agost 12, 2017 lakini Taifa wameomba wacheze tena na leo ili wawahi kurejea nyumbani Unguja kwaajili ya kupunguza gharama wakiwepo Kisiwani huko.

“Ni kweli Taifa watacheza mechi mbili mfululizo jana na leo kwa vile wameomba wacheze ivyo kwaajili ya kupunguza gharama ili wawahi kurudu nyumbani Unguja kwasababu wakimaliza mchezo huu hawana tena mchezo mwengine hapa Pemba, sasa ukiangalia ratiba mpaka Jumamosi ndo wanacheza na itabidi wasafiri Jumapili gharama zitazidi kuwa kubwa lakini wanacheza leo Alhamis na kesho Ijumaa wanarejea nyumbani”. Kilisema Chanzo.

Ligi kuu soka ya Zanzibar hatua hiyo ya 8 bora inachezwa kwa visiwa viwili tofauti yani Unguja na Pemba ambapo kuna baadhi ya timu ikiwemo Taifa wamesafiri mara mbili tofauti kwenda huko Kisiwani Pemba kucheza michezo yao ambapo mpaka ligi hiyo inaelekea ukingoni hakuna mdhamini yoyote aliyejitokeza jambo ambalo linawapa wakati mgumu vilabu vinavyoshiriki ligi hiyo
Attachments area


Hivyo makala Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ

yaani makala yote Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/timu-ya-taifa-ya-jangombe-imebidi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu ya Taifa ya Jangombe Imebidi Kucheza Mechi Mbili Mfulilizo Kisiwani Pemba Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.NJ"

Post a Comment

Loading...