Loading...
title : TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA
link : TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA
TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA
WATOTO wanajengwa kwa kiakili kwa kusoma vitu vinavyomuandaa katika kupenda shule katika ukuaji wa na kuleta matunda kwa taifa kutokana na msingi wa kusoma vitu mbalimbali.
Hayo ameyasema Afisa Mtendaji Mkuu wa Toto Magazine , Jacqueline Lesika wakati wa Tamasha la Kuogelea kwa wanafunzi wa Awali ya Shule ya Shree Hindu Mandal amesema kampuni ya Toto Magazine imeamua kudhamini tamasha hilo na kutoa zawadi ya jarada la watoto ili waweze kusoma.
Amesema kuwa jarida la watoto wanaweza kujifunza vitu ambavyo vitafanya motto kupenda kusoma jarida hilo na kuacha kutumia muda wa kuangalia Luninga zenye katuni ambazo hazimjengei msingi wa elimu.
Jacqueline amesema kuwa wataendelea kushiriki matamasha mbalimbali yanayohusu watoto katika kuweza kuwapa elimu katika majarida ya watoto.
Amesema kampuni ya Toto Magazine ni kampuni pekee ambayo imejikita kutoa elimu kwa watoto katika kuwajengea msingi wa elimu wa kupenda shule.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Toto Magazine, Jacqueline Lesika akimkabidhi cheti na Jarirda la Toto kwa Mwanafunzi wa awali katika shule ya Shree Hindu Mandal, Hussein Swedi kwa ushindi wa mashinadano ya kuogelea katika shule hiyo kwa udhamini wa Toto Magazin iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Toto Magazine, Jacqueline Lesika akimkabidhi cheti na Tshirt ya Toto Magazine Jarirda la Toto kwa Mwanafunzi wa awali katika shule ya Shree Hindu Mandal, Rabil Faraji kwa ushindi wa mashinadano ya kuogelea katika shule hiyo kwa udhamini wa Toto Magazin iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Toto Magazine ,Jacqueline Lesika akizungumza na waandishi habari hawapo pichani juu udhamini wa Tamasha la Kuogelea kwa Wanafunzi wa Shule ya Awali ya Shree Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA
yaani makala yote TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/toto-magazine-yadhamini-tamasha-la.html
0 Response to "TOTO MAGAZINE YADHAMINI TAMASHA LA KUOGELEA"
Post a Comment