Loading...

Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa.

Loading...
Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa.
link : Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa.

soma pia


Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa.

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii. 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, siku ya ijumaa itatoa maamuzi dhidi ya kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji kama ana kesi ya kujibu ama la.Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha amesema hayo leo mapema baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi dhidi ya kesi hiyo kwa kuita mashahidi watatu.

Kabla ya uamuzi huo kutolewa, shahidi wa tatu na wa mwisho, Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Domician Dominic (49) ameshindwa kuithibitishia mahakama hiyo kama sampuli ya mkojo alioufanyia uchunguzi ni wa Mfanyabiashara Yusufu Manji au Polisi.

Akijubu swali  wakili wa utetezi, Hudson Ndusyepo la kumtaka, kuieleza mahakama kama anatambua mkojo huo ni wa nani alisema, hatambui kama mkojo ni wa Manji au Polisi kwa kuwa hakuwepo msalani wakati sampuli hiyo inatolewa badala yake yeye alitoa kontena na kumpatia Polisi ili Manji aweke sampuli hiyo ambapo baada ya kuipokea  Kutoka kqa Koplo Sospeter 
Alisajili kontena hilo kwa kuipa namba ya maabara 367/2017.

Ameongeza katika uchunguzi wa awali aliofanya aligundua mkojo huo ulikuwa na kemikali inayoitwa benzodiazepines.

Akiongozwa na Wakili wa Serikali, Timon Vitalis, Shahidi huyo amedai mahakamani hapo kuwa kemikali zilizokutwa kwenye mkojo Wa Manji ni dawa ambao hutumika kwa ajili ya kupunguza maumivu makali kwa maelekezo ya daktari na pia kumsaidia mgonjwa kupata usingizi.

Ameongeza, katika hatua ya pili ya uchunguzi aligundua dawa inayoitwa Morphine yenye viashiria vya heroine ambayo wakati mwingine hutumika wakati wa upasuaji.


Hivyo makala Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa.

yaani makala yote Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/uamuzi-kama-manji-ana-kesi-ya-kujibu-au.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uamuzi kama Manji ana kesi ya kujibu au la katika kesi ya dawa za kulevya kujulikana ijumaa."

Post a Comment

Loading...