Loading...
title : MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
link : MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
Madaktari bingwa wa upasuaji wa kufungua kifua kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia upasuaji mtoto ambaye mishipa yake ya damu safi na damu chafu imekinzana kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Shirika la Healing Little Heart la nchini Uingereza wakati wa Camp maalum ya upasuaji wa kufungua kifua kwa watoto waliozaliwa na matatizo ya moyo leo katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto nane wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua katika kambi hiyo na hali zao zinaendelea vizuri.
Hivyo makala MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
yaani makala yote MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/madaktari-bingwa-wa-jkci-wafanya.html
0 Response to "MADAKTARI BINGWA WA JKCI WAFANYA UPASUAJI KWA WATOTO WALIOZALIWA NA MATATIZO YA MOYO"
Post a Comment