Loading...

ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA.

Loading...
ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA.
link : ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA.

soma pia


ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA.


Na: Agness Moshi – MAELEZO.

Ulaji wa nyama una faida lukuki kwa afya ya binadamu ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa virutubisho vya aina ya protini ambayo ni rahisi kutumika mwilini, madini mbalimbali (Calcium, Magnesium, Phosphorus, Zinc na Chuma); vitamini aina ya folic asidi, E, B na B12 ambayo inapatikana katika nyama pekee.

Nyama pia inasaidia katika ukuaji na kuongeza afya ya mlaji kutokana na uwezo mkubwa wa kujenga mwili, kukarabati seli za mwili zilizokufa, kuzalisha chembe hai mpya, kurekebisha kinga ya mwili, kuongeza damu na kuimarisha mifupa.

Hata hivyo faida zote hizo zinapatikana tu, kwa walaji wa nyama iliyo bora na yenye kiwango. Hivyo ni vizuri wananchi wakazingatia kanuni za ulaji wa nyama yenye kiwango ili kujiepusha na athari zinazoletwa na nyama isiyo na kiwango.

Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) Bi.Suzana Kiango amesema kuwa nyama yenye kiwango na bora huanzia kwenye utunzwaji wa mifugo wenye kuzingatia kanuni za uzalishaji bora, unenepeshaji wa mifugo yenye umri mdogo kwa kuwalisha chakula mchanganyiko kwa muda usiopungua siku 90 kabla ya kuchinja.

Bi.Kiango amesema kuwa hatua nyingine ni katika uchinjaji ambapo inashauriwa ufanyike kwenye machinjio bora ambayo yanakidhi viwango vya usafi. Hii ni pamoja na kuwa na sakafu na kuta zinazosafishika, maji ya kutosha na sehemu za kuning’iniza wakati wa kuchuna na kupasua.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA.

yaani makala yote ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ulaji-nyama-isiyo-na-kiwango-ni-chanzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA."

Post a Comment

Loading...