Loading...

Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa

Loading...
Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa
link : Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa

soma pia


Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akitowa shukrani zake kwa Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar kwa ushirikiano wao kuwezesha kupa umeme kwa wakati na katika kijiji cha Tunguu Uwandani Wilaya ya Kati Unguja, wakiwa katika sehemu iliowekwa Transfoma kwa ajili ya kupokea umeme katika kijiji hicho na kutowa huduma hiyo kwa wananchi zaidi ya mia moja kupata huduma hiyo. 
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Hassan Ali akitowa maelezo wakati wa hafla hiyo ya kupokea shukrani zilizotoka kwa Wananchi wa Jimbo hilo na Mwakilishi wao kwa msaada wao wa usambazaji wa umeme kwa wakati na kupata fursa ya kupata hudumi hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Kijiji cha Tunguu Uwandani akitowa shukrani za wananchi wa kijiji hicho wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo lililowekwa transfoma ya kusabaza umeme katika eneo hilo na kutowa huduma kwa wananchi zaidi ya mia moja.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kutowa shukarani kwa Shirika la Umeme Zanzibar kwa msaada wao kukamilisha zoezi hilo la usambazaji wa umeme katika Kijiji cha Tunguu Uwandani Wilaya ya Kati Unguja.hafka hiyo imefanyika katika kijiji hicho tunguu. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa

yaani makala yote Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/uongozi-wa-shirika-la-umeme-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar lapongezwa"

Post a Comment

Loading...