Loading...
title : Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C.
link : Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C.
Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C.
Vijana sita wa Kimarekani kutoka Mji wa Vallejo, California, (Sister City International) leo wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani jijini Washington D.C. Mji wa Vallejo ni Mji Dada na Mji wa Bagamoyo. Lengo la ziara yao ni kujua na kujifunza masuala mbalimbali kuhusu Tanzania, kwa kuwa wanatarajia kutembelea mji wa Bagamoyo mwaka 2019.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson M. Masilingi (kati) na afisa wa ubalozi Bw. Dismas Assenga (kulia) wakiwa na vijana hao sita kutoka mji wa Vallejo, California
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson M. Masilingi (kati) na afisa wa ubalozi Bw. Dismas Assenga (kulia) wakiwa na vijana hao sita kutoka mji wa Vallejo, California
Hivyo makala Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C.
yaani makala yote Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/vijana-kutoka-mji-wa-vallejo-california.html
0 Response to "Vijana kutoka Mji wa Vallejo, California watembelea Ubalozi wetu Washington D.C."
Post a Comment