Loading...

Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora

Loading...
Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora
link : Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora

soma pia


Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora

Mwambawahabari
001
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza katika tafrija ya kuwatunuku vyeti wafanyakazi bora wa mwaka 2017.  Kushoto ni Mkurugenzi Rasilimali Watu wa hospitali hiyo, Makwaia Makani na Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Muhimbili, Mziwanda Chimwege.
002
Baadhi ya wafanyakazi wakimzikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru kabla ya wafanyakazi bora kukabidhiwa vyeti.
003
Mmoja wa wafanyakazi bora, Abdallah Iddi akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji, Profesa Museru.
004
Dk. Methew Kalanga akiwa na Mkurugenzi mtendaji baada ya kukabidhiwa cheti.
005
Mfanyakazi bora, Mwajuma Kisengo akikabidhiwa cheti.
006 007
Baadhi ya wafanyakzi wakicheza muziki katika hafla hiyo.
008
Wafanyakazi bora wakiwa katika picha ya Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Museru.
…………………………………………………………………………
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru amewatunuku vyeti wafanyakazi 49 wa hospitali hiyo baada kuchaguliwa kuwa wafanyakazi bora.
Shughuli ya kuwakabidhi vyeti pamoja na zawadi nyingine ilifanyika katika hospitali hiyo, huku Mkurugenzi akiwataka wafanyakazi wasimbweteke bali waongeze bidii ili kuiwezesha hospitali kutoa huduma bora za kibingwa.
Akizungumza katika tafrija ya kuwatunuku vyeti, Mkurugenzi aliwaeleza kwamba uongozi wa hospitali unafanya juhudi kubwa ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi hivyo wasimwangushe katika kufikia malengo ya kutoa huduma bora za kibingwa.
Katika risala ya wafanyakazi ambayo ilisomwa na Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Muhimbili, Mziwanda Chimwege, wafanyakazi  walimpongeza Profesa Museru pamoja na uongozi wa hospitali hiyo kwa juhudi kubwa za kukarabati majengo na kununua vifaa tiba kwa lengo la kuboresha huduma za afya.
“Pamoja na pongezi hizo, tunakuomba sana uboreshe viwango vya zawadi kwa wafanyakazi bora watakaochaguliwa kipindi kingine,” amesema Chimwege.


Hivyo makala Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora

yaani makala yote Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wafanyakazi-bora-muhimbili-watunukiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wafanyakazi Bora Muhimbili Watunukiwa Vyeti vya ufanyakazi bora"

Post a Comment

Loading...