Loading...

WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO.

Loading...
WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO.
link : WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO.

soma pia


WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza  Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za London Marathon mwaka huu, Felix Simbu pamoja na wenzake watatu ambao walienda katika mashindano ya Dunia za London Marathon nchini Uingereza.
 Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akizungumza wakati wa Jeshi la kujenga taifa limewapongeza  washindi hao walipowasili hapa nchini tangu walipotoka kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia yaliyofanyika nchini Uingereza. Amesema kuwa "Ushindi huu si wangu peke yangu bali ni wa wetu sote kutokana tulikuwa na umoja."Huu ni ushindi wa wote, hivyo umoja wetu utazidi kujitahidi kufanya vizuri zaidi hapo baadae,".
Katibu Baraza la Michezo Tanzania(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano ya Riadha ya Dunia ambapo Tanzania ilikuwa na wanariadha wanne na  Mshindi wa tatu wa Mbio hizo za Dunia za London Marathon kutoka Tanzania ni Alfonce Simbu.
 Mwakilishi wa Multchoice, akizungumza katika hafla fupi iliyoandali na Jeshi la Kujenga Taifa akiwapongeza washiriki wa Mashindano hapo ikiwa mshindi watatu wa mashindano ya riadha ya dunia aliibuka kidedea
Alfonce Simbu.
 Mwanariadha, Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuwapongeza kushiriki mashindano ya Rianda ya Dunia.


Hivyo makala WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO.

yaani makala yote WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wanariadha-wapongezwa-na-jeshi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR LEO."

Post a Comment

Loading...