Loading...

WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI.

Loading...
WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI.
link : WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI.

soma pia


WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI.

MTU mmoja na watoto wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuvuka mto Ruvu  kuzama Mkoani Pwani. 

Mtumbwi huo walikuwa wakiutumia kutoka upande wa Vigwaza kwenda upande wa Mlandizi katika mto huo wilaya ya kipolisi Chalinze Mkoani Pwani.

Kamanda Shanna amesema, tukio hilo limetokea majira ya saa kumi alfariji usiku wa kuamkia Agosti 6 mwaka huu.

Aliwataja waliopoteza maisha kuwa ni Sikuzani Mussa (41) ambae mwili wake bado haujapatikana na jitihada za kuutafuta zinaendelea.

Kamanda Shanna, alisema watoto waliopoteza maisha kwenye tukio hilo ni Nusurat Haji mwenye miezi minne na Fesali Hamza mwenye mwaka mmoja.

Aidha katika tukio hilo watu wawili waliweza kuokolewa wakiwa hai ambao ni Zuwena Ramadhani (29)na Tero Mziray (20).

"Dereva wa mtumbwi huo haijajulikana alipo na inaaminika ya kwamba yeye hajafa maji.''

Kamanda Shanna, alieleza chanzo cha mtumbwi huo kuzama maji bado kinachunguzwa na miili ya marehemu imeshafanyiwa uchunguzi na kukabidhiwa kwa ndugu zao kwa ajili ya mazishi .


Hivyo makala WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI.

yaani makala yote WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/watu-watatu-wafa-maji-mkoani-pwani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATU WATATU WAFA MAJI MKOANI PWANI."

Post a Comment

Loading...