Loading...

WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI

Loading...
WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
link : WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI

soma pia


WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI


PMO_9161
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Felex Jackson katika Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere Dar es salaam leo August,16/2017 akiwa anaelekea Nchini Cuba Kwa ziara ya kikazi.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
………………..

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.
Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU, 
JUMATANO, AGOSTI 16, 2017.


Hivyo makala WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI

yaani makala yote WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-aenda-nchini-cuba-kwa-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI"

Post a Comment

Loading...