Loading...

WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI

Loading...
WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI
link : WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI

soma pia


WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI

PIX 1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues wakati wa kikao na watendaji wa Wizara pamoja na UNESCO kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam
PIX 2
Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues (wapili kushoto) akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) pamoja na watendaji wa Wizara kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam
PIX 3
Mkurugenzi Msaidizi Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Benard Lubogo (katikati) akichangia mada wakati wa kikao na watendaji kutoka UNESCO kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bibi. Martha Swai
PIX 4
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokea moja ya kitabu chenye kumbukumbu ya historia ya Afrika ikiwemo Tanzania kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues wakati wa kikao na watendaji wa Wizara pamoja na UNESCO kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam
PIX 5
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na watendaji wa Wizara yake na watendaji kutoka UNESCO baada ya kikao na watendaji hao kujadili mashirikiano yaliyopo katika kuhifadhi historia ya nchi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bibi. Zulmira Rodrigues na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bibi. Martha Swai
Picha na: Genofeva Matemu -WHUSM


Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI

yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-mwakyembe-ahimiza-mashirikiano_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AHIMIZA MASHIRIKIANO KATI YA WIZARA NA UNESCO KATIKA KUHIFADHI HISTORIA YA NCHI"

Post a Comment

Loading...