Loading...
title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakipata makaribisho Nchini Cuba jana Agosti 17, 2017 kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Havana kwa ziara ya kikazi nchini humo.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwa na mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa CUBA Bibi Ana Teresa mara baada ya kuwasili jana Agosti 17, 2017 katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Havana kwa ajili ya ziara ya kikazi Nchini Cuba. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-awasili.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment