Loading...
title : Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera.
link : Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera.
Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera.
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni (kushotowaliokaa)naNaibu WaziriWizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, wakimsikilizaMkurugenziMkuuwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini(SUMATRA),Gillard Ngewe,walipotembeleakituo cha kufuatiliamwenendowamabasi,kilichopojijini Dar es Salaam, ikiwakatikaMpangowaWizarahizokushirikianakatikakudhibitiuhalifuwabarabaranikwakutumiamifumomaalumu
MtaalamuwaMifumoyaKomputakutokaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini (SUMATRA), Godfrey Nsato, akifafanuajinsiMfumowaKufuatiliaMwenendowaMabasiunavyofanyakazikwaNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushotowaliokaa) naNaibu Waziri WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani,walipotembeleaKituo cha KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar es Salaam,ikiwakatikaMpangowaWizarahizokushirikianakatikakudhibitiuhalifuwabarabaranikwakutumiamifumomaalumu
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumzanaWaandishiwahabaribaadayakutembeleaKituo cha KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar es Salaam, ikiwakatikaMpangowaWizarahiyokushirikiananaWizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasilianokatikakudhibitiuhalifuwabarabaranikwakutumiamifumomaalumu
Naibu Waziri WizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasiliano,Mhandisi Edwin Ngonyani, akizungumzanaWaandishiwahabaribaadayakutembeleaKituo chaKufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar es Salaam, ikiwakatikaMpangowaWizarahiyokushirikiananaWizarayaMambo yaNdaniyaNchi,kudhibitiuhalifuwabarabaranikwakutumiamifumomaalumu
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagananaMkurugenziMkuuwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini (SUMATRA),Gillard Ngewe (Kushoto), baadayakumalizaziarayakutembeleaKituo cha KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar esSalaam.KulianiNaibu Waziri WizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhandisi Edwin Ngonyani
Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(watatukulia),Naibu Waziri WizarayaUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhandisi Edwin Ngonyani(wapilikulia), wakiwakatikapichayapamojanaViongoziWaandamiziwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini(SUMATRA) naJeshi la Polisi Kitengo cha UsalamaBarabarani, baadayakumalizakutembeleaKituo cha KufuatiliaMwenendowaMabasi,kilichopojijini Dar esSalaam.WenginewaliokaaKulianiMakamuMwenyekitiwa SUMATRA, Hilda GondwenaKushotoniMkurugenziMkuuwaMamlakayaUdhibitiUsafiriwaNchiKavunaMajini(SUMATRA),Gillard Ngewe
Hivyo makala Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera.
yaani makala yote Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wizara-zaungana-kudhibiti-uhalifu.html
0 Response to "Wizara Zaungana Kudhibiti Uhalifu Barabbarani Kwa Njia ya Kamera."
Post a Comment