Loading...

Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba.

Loading...
Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba.
link : Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba.

soma pia


Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba.

AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salum Matta akifungu kikao cha kamati ya Kujadili, kujiandaa na kukabiliana na maafa kwa wanafunzi na wachumaji wa karafuu walioko katika kambi, kikao hicho kimefanyika mjini chake chake.
MRATIB wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Pemba, Khamis Arazak Khamis, akitoa ufafanuzi juu ya maandalizi ya kamisheni ya kukabiliana na maafa Pemba zilivyojiandaa pindi ikitokea maafa katika kambi za wachumaji wa karafuu Pemba.
AFISA mdhamini Wizara ya Afya Pemba, Bakari Ali Bakari akielezea mikakati yaake juu ya kukabiliana na maradhi ya Mripuko pindi yatakapotokea
MWAKILISHI wa Wizara ya Afya Pemba, Msanifu Othman Massoud, akitoa tathmini ya maradhi ya mripuko yaliyotokea katika kipindi cha Aprili hadi Julai mwaka huu, katika kikao cha kujadili, kujiandaa na kukabiliana na maafa kwa wanafunzi na wachumaji wa karafuu walioko katika kambi
AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba, Salum Kitwana Sururu, akitoa ufafanuzi juu ya kambi za wanafunzi zinazotarajiwa kuanza muda wowote Kisiwani Pemba


Hivyo makala Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba.

yaani makala yote Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/afisa-mdhamini-ofisi-ya-makamu-wa-pili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Afungua Mkutano wa Kamati ya Kuzungumzia Kukabiliana na Wanafunzi na Wachumaji Karafuu Pemba."

Post a Comment

Loading...