Loading...

Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo.

Loading...
Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo.
link : Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo.

soma pia


Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo.

Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania Dokt,Lorna Carneiro kulia  akitoa hotuba ya makaribisho katikaUfunguzi wa  Zoezi la Uchunguzi wa Maradhi ya kinywa na Meno katika Kituo cha Afya Rahaleo Mjini Unguja.
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya katika Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt,Fadhil Abdalla akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Zoezi la Uchunguzi wa  Maradhi ya Kinywa na Meno  katika Kituo cha Afya Rahaleo Mjini Unguja.Zoezi linalofanywa na Chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania(TDA).wakishirikiana na madaktari wa Zanzibar.
Daktari wa Kinywa na Meno kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt,Ismail Amour akitoa Elimu ya kujikinga na maradhi hayo katika  Ufunguzi wa Zoezi la Uchunguzi wa  Maradhi ya Kinywa na Meno  katika Kituo cha Afya Rahaleo Mjini Unguja.Zoezi linalofanywa na Chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania(TDA).wakishirikiana na madaktari wa Zanzibar.
Daktari wa Kinywa na Meno kutoka Haspitali ya Alrahma Zanzibar akimfanyia Uchunguzi wa  mardhi ya Kinywa na Meno Kauthar Vuai mkaazi wa meli nne, katika Zoezi la Uchunguzi wa  Maradhi ya Kinywa na Meno  katika Kituo cha Afya Rahaleo Mjini Unguja.Zoezi linalofanywa na Chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania(TDA).wakishirikiana na madaktari wa Zanzibar.
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya katika Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt,Fadhil Abdalla katikati akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari kutoka Chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania(TDA).pamoja na madaktari wa Zanzibar katika  Zoezi la Uchunguzi wa  Maradhi ya Kinywa na Meno  katika Kituo cha Afya Rahaleo Mjini Unguja.
Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania Dokt,Lorna Carneiro kushoto akifanya mahojiano na Muandishi wa Habari kutoka ITV Farouk Kariym pamoja na  muandishi wa Habari Maelezo Zanzibar Khadija Khamis katika  Ufunguzi wa Zoezi la Uchunguzi wa  Maradhi ya Kinywa na Meno  katika Kituo cha Afya Rahaleo Mjini Unguja.Zoezi linalofanywa na Chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania(TDA).wakishirikiana na madaktari wa Zanzibar.


Hivyo makala Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo.

yaani makala yote Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/madaktari-bingwa-wa-chama-cha-madaktari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Madaktari Bingwa wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Wakitowa Huduma hiyo Kwa Wananchi wa Zanzibar Katika Kituo cha Afya Rahaleo."

Post a Comment

Loading...