Loading...

AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI

Loading...
AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI
link : AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI

soma pia


AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI

Mwambawahabari 

Posted On: September 13th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Da es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda amekutana na Balozi Wa Korea kusini Nchini Tanzania na kufanyanae mazungumuzo juu ya maombi ya Ofisini kwake kwa shirika la KOICA katika kujenga Hospitali ya kisasa ya mama na mtoto kama waliomjengea Chanika yenye thamani ya Bilioni 8.8katika wilaya mbili mpya yani wilaya ya Ubungo na wilaya ya kigamboni ili kusaidia wakina mama na watoto.
Maombi hayo yamepokelewa ikiwa ni mwendelezo wamajadiliano yaliyofanyika kati ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam  na wabunge Wa Korea Kusini mwaka Jana walipokuja kutembelea mradi Wa Hospitali ya mama na mtoto yenye uwezo wa kulaza watu 161, vitanda vya kuhifadhi watoto njiti 60, uwezo wa kufanya oparesheni 4 kwa wakati mmoja na pia sehemu za mapumziko ya wamama wanaojiandaa kujifungua 100, huku ikiwa na nyumba za watumishi wa familia 28 katika eneo hilo hilo la kazi kama sehemu ya kuongeza tija katika utoaji Wa huduma.
Ujenzi wa Hospitali hizi nyingine mbili kwa wilaya lengwa ukifanikiwa utagharimu takribani shilingi Bilioni 17.6 za kitanzania mpaka kukamilika. “Naendelea kumwamini Mungu kwa kazi aliyonipa”, alisema Mkuu wa Mkoa.
Wilaya ya Ubungo na Wilaya ya Kigamboni Neema inakuja kwa kina mama na watoto.


Hivyo makala AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI

yaani makala yote AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/akufaaye-kwa-dhidi-ndiye-rafiki-wakweli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AKUFAAYE KWA DHIDI NDIYE RAFIKI WAKWELI"

Post a Comment

Loading...