Loading...
title : ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE
link : ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE
ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Njombe,Benedict Kitongwa(kulia)akimkabidhi mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 15/-Alto Mdenye(katikati)alizojishindia kupitia Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu,Anaeshuhudia kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Njombe,Aloycius Shija.
Meneja wa Benki ya NMB Njombe,Aloycius Shija, Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 15/-Alto Mdenye(katikati) wakifurahia jambo pamoja na Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Njombe,Benedict Kitongwa,Wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa kitita chake alichojishindia kupitia Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Hivyo makala ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE
yaani makala yote ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/alto-mdenye-atusua-mapene-ya-vodacom.html
0 Response to "ALTO MDENYE ATUSUA MAPENE YA VODACOM TANZANIA-NJOMBE"
Post a Comment