Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM
link : MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Jinsia linalofanyika kwenye viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao Dkt. Vicensia Shule (kushoto) wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na TGNP Mtandao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea tuzo ya Uongozi kwa kuwa Makamu wa Rais wa Kwanza Mwanamke na kutambua mchango wake katika kusimamia na kuhamasisha usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake kutoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao Dkt. Vicensia Shule (kushoto) wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na TGNP Mtandao.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-azindua-tamasha-la.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA TAMASHA LA JINSIA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment