Loading...

Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela

Loading...
Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela
link : Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela

soma pia


Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela

Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu askari Polisi wawili wa kutoka kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam na watu wengine sita kwenda jela miaka 35 kwa makosa mawili ya kukutwa nyara za serikali na kujihusisha na mtandao wa ujangili.

Hayo yamesemwa na Wakili wa Serikali, Salimu Msemo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma, ambapo aliwataja polisi hao wa zamani waliokutwa na hatia ni wenye namba D 8656 CPL Senga Nyembo na G 553 PC Issa Mtama washtakiwa walikutwa na meno 70 ya tembo yenye thamani ya Sh. milioni 800.

Wengine sita waliokuwa nao wote wamekutwa na hatia ni pamoja na Prosper Maleto, Seif Mdumuka, Amri Bakari, Said Mdumuka, Ramadhan Athuman na Musa Mohamed.

Aidha, amesema kuwa washtakiwa hao walikutwa na kosa hilo katika eneo la kituo cha ukaguzi cha Kauzeni lililopo Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kabla ya kufikishwa kortini na kukumbana na adhabu hiyo.

Hata hivyo, ameongeza kuwa katika kosa la kwanza, washtakiwa walihukumiwa kwenda jela miaka 20 kila mmoja na faini kwa kila mmoja, wakati katika kosa la pili, washtakiwa wawili ambao ni hao polisi, walihukumiwa miaka 15 kwenda jela.


Hivyo makala Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela

yaani makala yote Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/askari-polisi-wawili-wahukumiwa-miaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Askari Polisi Wawili Wahukumiwa Miaka 35 Jela"

Post a Comment

Loading...