Loading...
title : Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo
link : Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo
Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia mwenye makazi jijini Kuala Lumpur Mheshimiwa Dkt. Ramadhani Kitwana Dau amewasilisha Hati za Utambulisho (Letters of Credence) kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mheshimiwa Joko Widodo katika sherehe zilizofanyika siku ya Jumanne ya tarehe 12 Septemba 2017 katika Ikulu ya Indonesia maarufu kama Istana Maderka.
Kuwasilishwa kwa Hati hizo kunatoa ruksa wa Balozi Dkt. Dau sasa ya kufanya shughuli za uwakilishi nchini Indonesia kwa uhuru pasipo kuvunja taratibu za Kidiplomasia.
Imetolewa na:
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kuala Lumpur
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia mwenye makazi jijini Kuala Lumpur Mheshimiwa Dkt. Ramadhani Kitwana Dau akiwasili katika Ikulu ya Indonesia maarufu kama Istana Maderka tayari kuwasilisha Hati za Utambulisho (Letters of Credence) kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mheshimiwa Joko Widodo
Hivyo makala Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo
yaani makala yote Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/balozi-dkt-ramadhani-kitwana-dau.html
0 Response to "Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo"
Post a Comment