Loading...
title : Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji
link : Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji
Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji
Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.
Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo amesema hayo leo Jumatano katika mkutano na waandishi wa habari.
Kutokana na hilo wamemuondoa Manji kwenye nafasi hiyo kutokana na kukosa sifa
Hivyo makala Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji
yaani makala yote Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/breaking-news-ccm-yamvua-udiwani-yusuf.html
0 Response to "Breaking News: CCM Yamvua Udiwani Yusuf Manji"
Post a Comment