Loading...

BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA.

Loading...
BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA.
link : BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA.

soma pia


BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA.

Mwambawahabari
Mkutano wa nane wa Bunge la 11 unatarajiwa kuanza kesho mjini Dodoma. 

Bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
 Kwa mujibu wa ofisi ya Bunge ratiba ya bunge itatolewa leo baada ya kamati ya uongozi kukutana na kuamua uwasilishwaji wa mswada iliyopo

Katika mkutano huo wabunge wa chama cha Cuf wanatarajiwa kuapishwa kutokana na baadhi ya wabunge kufukuzwa baada ya kukikuka utaratibu na miongozo ya chama hicho ikiwa ni pamoja na kutohudhuria vikao. 

Juzi mbunge mmoja ambaye alitarajiwa kuapishwa na wenzake kesho Mbunge mteule wa Viti Maalum Hindu Mwenda alifariki dunia na kuzikwa jana makaburi ya Kisutu. 

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, Magdalena Sakaya amesema chama hicho kimepokea kwa masikitiko kifo cha 

Hindu alifariki dunia ghafla nyumbani kwake Kibada Kigamboni. 

Sakaya amesema  Hindu alikuwa ni mpambanaji  na mtu mwenye kukijenga chama hicho  kuanzia miaka ya 90  hivyo ni pigo kubwa kuondoka kwake. 

‘’Hata ukifika  Tabora leo hii hakuna mwanachama wa CUF asiyemjua Hindu’ ’amesema Sakaya. 

“Sijui niseme nini maana zilikuwa zimebaki siku chache tu aende Dodoma kuapishwa baada ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya 

Uchaguzi (NEC) mwezi uliopita,” amesema Sakaya ambaye pia ni Mbunge wa Kaliua Tabora


Hivyo makala BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA.

yaani makala yote BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/bunge-kuanza-kulindima-kesho-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BUNGE KUANZA KULINDIMA KESHO MJINI DODOMA."

Post a Comment

Loading...