DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONIlink :
DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI
DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Mhe. Hashim Mgandilwa leo ameongoza Mamia ya wakazi wa Wilaya hiyo wakiwemo watumishi wa Manispaa ya Kigamboni kufanya usafi na kufyeka vichaka katika eneo la nafco Gezaulole.
Hatua ya kusafisha eneo hilo imekuja baada ya eneo hilo kuchukuliwa na serikali kutoka kwa aliyekuwa mmiliki wa eneo hilo Yusuf Manji baada ya kuachwa kuwa shambapori kwa muda mrefu hali ilipelekea Serikali kufuta hati ya umiliki na kulikabidhi kwa Manispaa ya Kigamboni.
Akizungumza na wananchi wa Kigamboni Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Hashim Mgandilwa amewataka wananchi wa eneo hilo kuendelea kufanya usafi katika eneo hilo pasipo kuathiri mazingira ikiwemo kukata miti na Minazi iliyo oteshwa ili kuweka eneo hilo kuwa salama ambapo hapo awali likiwa maficho ya wahalifu.
"zoezi hili la usafi pasipo kuathiri Mazingira na ikabidi kwa ofisi ya kata ya Somangila kwa muda wa juma moja ili wananchi muweze kujikusanyia Nishati ya kuni baada ya hapo t utaanza ujenzi wa ofisi za Manispaa ya Kigamboni" Amesema Mgandilwa.
Kwa upande wake Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Dr Faustine Ndugulile amempongeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, pamoja na viongozi wa Manispaa ya Kigamboni kwa kuweza kulirudisha eneo hilo mikononi mwa Serikali.
Sanjari na hayo amewataka wananchi wa waliojitokeza katika zoezi hilo la usafi kuendeleza umoja huo pindi kazi ya ujenzi wa makao ya Wilaya hiyo.
Nao baadhi ya wananchi walioshiriki katika zoezi hilo wamepongeza hatua hiyo kwa ni Pori hilo limegharimu maisha ya watu wengi ambao wamefariki kwa kutekwa na majambazi hasa waendesha bodaboda na Bajaji, na sasa wamesema ukomombozi wao umekuja.
Hivyo makala DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI
yaani makala yote DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/dc-mgandilwa-aongoza-zoezi-la-usafi.html
0 Response to "DC MGANDILWA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SHAMBA LA NAFCO, YATKAPO JENGA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA KIGAMBONI"
Post a Comment