Loading...
title : DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI
link : DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI
DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Viongozi mbali mbali baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akipungia mkono Viongozi mbali mbali kama ishara ya kuwaaga baada ya kumalizika kwa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo.
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo,katika ukumbi wa mkutano wa Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wananchi na Viongozi wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akiwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Hivyo makala DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI
yaani makala yote DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/dkt-shein-aongoza-baraza-la-eid-fumba.html
0 Response to "DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI"
Post a Comment