Loading...

Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi

Loading...
Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi
link : Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi

soma pia


Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi


Ilikuwa ni siku ya furaha mno kwa wananchi wa jamii ya wafugaji kitongoji cha Endevesi, kata ya Njoro, Wilayani Same. Ambapo Septemba 12, 2017 wakati Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Rosemary Senyamule akipokea majengo ya Shule ya msingi kwa niaba ya serikali. Pamoja Na mradi wa Maji kwa ajili ya wananchi hao wasiopungua 6,000. Shule hiyo yenye madarasa 6, ofisi za walimu, vyoo Na nyumbani za walimu. Imejengwa kwa ushirikiano wa masista wa Grail, Joy of faith Na Korea Hope Foundation.

Jamii hii ya Endevesi walikuwa wakipata Huduma hizi umbali wa km. Zaidi ya 5 Na kupelekea watoto wengi kuwa watoro. "Shule tumejengewa, serikali tutahakikisha tunapanga walimu Na shule hii inaanza 2018. Wananchi wakikishe wanaleta watoto shuleni. Nasi tutawachukulia hatua wote watakaokuwa watoro." Aliwashukuru pia kwa kuunga mkono juhudi za Mh. Rais wa Tanzania katika kuhimiza elimu. Miradi hiyo imegharimu zaidi ya Tshs. 800M.
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Rosemary Senyamule akiongea mara baada ya kupokea majengo yaliyojengwa kwa ushirikiano wa masista wa Grail, Joy of faith na Korea Hope Foundation.
Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Rosemary Senyamule akipanda mti wa kumbukumbu.
Mkuu wa wilaya na kiongozi wa Korea Hope Foundation wakinawa mikono katima bomba ambalo ni moja ya mradi waliokabidhiwa.


Hivyo makala Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi

yaani makala yote Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/elimu-wananchi-wa-jamii-ya-wafugaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Elimu : Wananchi wa Jamii ya Wafugaji Kitongoji cha Endepesi Wajengewa Shule ya Msingi"

Post a Comment

Loading...