Loading...
title : Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa
link : Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa
Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa
Hili ni eneo liliopo mkabala na Mahakama Kuu Zanzibar ambalo limetolewa kibali na kuanza kujengwa. Inasadikiwa sehemu hii ilikuwa ni makaburi zamani
Na Mkereketwa wa Mji Mkongwe
Kuna sheria Zanzibar inayozuia ujenzi katika maeneo yaliyowahi kuwa makaburi kuwa yabaki kuwa green/open spaces.
Hili eneo lilikua na hadhi hiyo lakini ghafla limepewa kibali kujengwa katika mji huo huo mkongwe tunaombiwa kuna msongamano!
Tena jengolenyewe lipo mkabala na Mahakama Kuu.
Nani katoa kibali? Kwanini Mji Mkongwe hauna usimamizi maalum dhidi ya waliopewa dhamana?
Hivyo makala Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa
yaani makala yote Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/eneo-linalosadikiwa-kuwa-na-makaburi.html
0 Response to "Eneo linalosadikiwa kuwa na makaburi laanzwa kujengwa"
Post a Comment