Loading...
title : IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA
link : IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA
IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA
Mkuu wa Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wanachi wa Mererani Mkoani Manyara leo baada Rais Dk. John Magufuli kufungua barabara ya kiwango cha lami cha kilometa 26 iliyoanzia KIA kuelekea mererani Mkoani humo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna wa Polisi DCP Charles Mkumbo (kulia) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi ACP Hamisi Seleman Issah katika uwanja wa Ndege KIA wakati wanamsubiri Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akitokea jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi mikoa ya Arusha na Manyara. PICHA KWA HISANI YA JESHI LA POLISI.
Hivyo makala IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA
yaani makala yote IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/igp-sirro-akizungumza-na-maofisa-na.html
0 Response to "IGP SIRRO AKIZUNGUMZA NA MAOFISA NA ASKARI WA JIJI LA ARUSHA"
Post a Comment